Psalms 88:14-15


14 aEe Bwana, kwa nini unanikataa
na kunificha uso wako?


15 bTangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo;
nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa.
Copyright information for SwhKC